|
Post by Emashilla on Sept 10, 2012 16:27:28 GMT -3
Hali ya Kisiasa ya Tanzania imeanza kuonesha tofauti kubwa Kati ya Vyama vya siasa na chama tawala. Hata hivyo, Wananchi wa nchi hii wanastahili kupongezwa kwa uvumilivu wao. Viongozi wa vyama tumieni utulivu na amani iliyopo kuimarisha demokrasia na uchumi.
Kila heri kwa watanzania wote.
|
|
|
Post by danemash on Sept 10, 2012 16:50:30 GMT -3
Hakika Watanzania ni wapole
|
|